Job 23:3-4


3 aLaiti ningefahamu mahali pa kumwona;
laiti ningeweza kwenda mahali akaapo!

4 bNingeliweka shauri langu mbele zake,
na kukijaza kinywa changu na hoja.
Copyright information for SwhKC